chanika holdings
Member
- Mar 16, 2014
- 25
- 3
Kina ukubwa wa kati,karibu na barabara kuu(Lami),pia karibu na kituo cha daladala kwenye barabara ya Mvuti,ni tambarare na kuna majirani,eneo zuri na tulivu,pia kipo kilichopimwa pembeni yake kwa bei ya M8.
Unaweza fika hapo kwa kupitia njia ya Gongo la Mboto mpaka chanika AU njia ya Mbagara,Mbande halafu Mvuti.
Mteja karibu na sihitaji dalali.
Tel:0656 33 50 33 / 0687 97 87 51
Unaweza fika hapo kwa kupitia njia ya Gongo la Mboto mpaka chanika AU njia ya Mbagara,Mbande halafu Mvuti.
Mteja karibu na sihitaji dalali.
Tel:0656 33 50 33 / 0687 97 87 51