Nauza kiwanja kipo Vikindu barabarani stand

baraka wanna

Member
Sep 8, 2014
25
1
Kiwanja kipo Vikindu barabarani kabisa,umeme upo na miundombinu mingine IPO, kina ukubwa wa futi 60 kwa 50.

Kinafaa kwa Ujenzi wa nyumba au biashara, bei ni mil.3 na nusu kwa anayehitaji wahi mapema hakina Dalali.

Nipigie kwa 0713-377167/ 0756-377167
 
Mkuu mbona hujibu meseji?
 
Kiwanja kipo Vikindu barabarani kabisa,umeme upo na miundombinu mingine IPO, kina ukubwa wa futi 60 kwa 50.

Kinafaa kwa Ujenzi wa nyumba au biashara, bei ni mil.3 na nusu kwa anayehitaji wahi mapema hakina Dalali.

Nipigie kwa 0713-377167/ 0756-377167
Siku nyingine uangalie jinsi ya kuandika. Sasa hapo si unafukuza Wateja? Nani anapenda nyumba yake baadae aambiwe iko barabarani ibomolewe? Hasa hapo kwenye red.
 
Achakupotosha watu wewe be reasonable, ndio Maana kunamawasiliano hapo kabla hujaandika lolote unge patauthibitisho kwanza.ila kwa kuwa wewe siomulewa wacha nikuelimishe Kiwanja hakikondani ya hifadhi ya barabara..kwa muhitaji nipigie 0713 377167/0756 377167
 
Ooh sorry nimeiona SMS yako, Kiwanja kipo karibu sana na barabara kwa kupima kilometre hata kilometer moja haifiki. Kiwanja kipo mahali pazuri sana pia unaweza kujakukiona .

we haupo serious, unatumiwa msg hujibu, alafu unasema hujaona mara unajibu huku...sasa hizo namba za simu uliweka za nini? au kiwanja cha wizi??
 
Achakupotosha watu wewe be reasonable, ndio Maana kunamawasiliano hapo kabla hujaandika lolote unge patauthibitisho kwanza.ila kwa kuwa wewe siomulewa wacha nikuelimishe Kiwanja hakikondani ya hifadhi ya barabara..kwa muhitaji nipigie 0713 377167/0756 377167

Mawasiliano gani unatumiwa meseji hujibu?
 
Achakupotosha watu wewe be reasonable, ndio Maana kunamawasiliano hapo kabla hujaandika lolote unge patauthibitisho kwanza.ila kwa kuwa wewe siomulewa wacha nikuelimishe Kiwanja hakikondani ya hifadhi ya barabara..kwa muhitaji nipigie 0713 377167/0756 377167

Mimi sio muelewa lakini nilichoandika kina mantiki kuliko unavyodhani. Kifupi hujui lugha. Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Cc: #FaizaFoxy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom