baraka wanna
Member
- Sep 8, 2014
- 25
- 1
Kiwanja kipo Vikindu barabarani kabisa,umeme upo na miundombinu mingine IPO, kina ukubwa wa futi 60 kwa 50.
Kinafaa kwa Ujenzi wa nyumba au biashara, bei ni mil.3 na nusu kwa anayehitaji wahi mapema hakina Dalali.
Nipigie kwa 0713-377167/ 0756-377167
Kinafaa kwa Ujenzi wa nyumba au biashara, bei ni mil.3 na nusu kwa anayehitaji wahi mapema hakina Dalali.
Nipigie kwa 0713-377167/ 0756-377167