Nauza kiwanja kipo goba eneo linaitwa Tegeta A

bazoka

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
300
142
Wasalaam:

NAUZA kiwanja chenye ukubwa wa square metre 840(unsurveyed) kipo Kata ya GOBA eneo linaitwa TEGETA A bei ni tsh 20 million ni viwanja viwili nimeunganisha pamoja kina mikataba yote ya mauziano ya awali kuanzia serikali ya mitaa hadi kwa wakili mwenye kipo km 11 toka njia panda ya GOBA hapo Mbezi na km 4 toka barabara ya lami mpya ya GOBA kutokea mbezi mwisho mwenye uhitaji ani -PM!
Kwa mawasiliano wasiliana nami kwa namba 0621-873514
 
Mkuu hakina mgogoro wowote, umesema vimeungana, je kwa mkwanja huo unajumuisha vyote viwili?
 
Mkuu hakina mgogoro wowote, umesema vimeungana, je kwa mkwanja huo unajumuisha vyote viwili?
Ndio kaka nilinunua viwili so ndio maana NAUZA vyote kwa pamoja hiyo square metre ni kwa viwili na hakuna mgogoro wowote
 
ImageUploadedByJamiiForums1465751822.968813.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom