Mbona unaulizwa swali hujibu??? Visiga ipi?? Kuna visiga nyingi msufini, miwaleni, madafu, kwa kipofu, au maili 35..
Sikumbuki kituo lakini ninachokumbuka ni Madafu au kituo cha nyuma au mbele ya madafu.
Wanajukwaa habari zenu?
Ninauza kiwanja changu (surveyed) bado hati tu (title deed) ambayo process yake haizidi 250,000 Tshs.
Atakayekinunua nitam-link na watu wa ofisi ya Ardhi Kibaha waliowasaidia wateja wangu wengine.
Ninaihitaji sana na pesa (as soon as possible). Kuna shida nataka niitatue.
Bei:
Market price (Bei ya sokoni): 6,000 Tshs/ sqm
Selling price (Bei ya kuuza): 4,000 Tshs/ sqm (lakini maelewano yapo).
Ni kiwanja kilichopo katika eneo lenye viwanja vilivyopimwa zaidi ya 200 ambavyo ndani yake kuna plan ya sehemu za huduma za Jamii na mitaa iliyopangwa vizuri.
Ni eneo la Mzee mmoja ambaye ana ekari zaidi ya 100 (zingine amepanda miembe ya kisasa).
Bei anayouza ni 6,000 Tshs kwa sqm
Mimi nauza Tshs. 4,000/ sqm (na maelewano yapo ili mradi pesa niipate mapema iwezekanavyo).
Contacts: 0763718328
Wanajukwaa habari za asubuhi?
Kiwanja bado kinauzwa.

siamini,kama kuna ukweli.Wanajukwaa habari zenu?
Heri ya mwaka mpya!
Kiwanja bado kipo sokoni.
Bei ya soko kwa sasa (kiwanja chenye hati) ni 7,500 Tshs/ sqm. Mimi nauza kwa 4,000 Tshs/ sqm (kama tangazo la awali lilivyo).
Vyuma vimekaza!
Ukweli wa?siamini,kama kuna ukweli.
Mkuu kiwanja bado kipo?Ukweli wa?
Walakini gani tena?Mmh bado tu hujauza..? kina walakini hicho,toka wa tano mwaka jana
Bado kipo.Mkuu kiwanja bado kipo?
Je ni pale ilipokuwa ofisi za Ardhi Msufini kuna kama ka barabara flani ya lami?