Nauza kiwanja 960sqm - Visiga Kibaha

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
571
156
Wanajukwaa habari zenu?
Ninauza kiwanja changu (surveyed) bado hati tu (title deed) ambayo process yake haizidi 250,000 Tshs.

Atakayekinunua nitam-link na watu wa ofisi ya Ardhi Kibaha waliowasaidia wateja wangu wengine.

Ninaihitaji sana na pesa (as soon as possible). Kuna shida nataka niitatue.

Bei:
Market price (Bei ya sokoni): 6,000 Tshs/ sqm
Selling price (Bei ya kuuza): 4,000 Tshs/ sqm (lakini maelewano yapo).

Ni kiwanja kilichopo katika eneo lenye viwanja vilivyopimwa zaidi ya 200 ambavyo ndani yake kuna plan ya sehemu za huduma za Jamii na mitaa iliyopangwa vizuri.

Ni eneo la Mzee mmoja ambaye ana ekari zaidi ya 100 (zingine amepanda miembe ya kisasa).

Bei anayouza ni 6,000 Tshs kwa sqm

Mimi nauza Tshs. 4,000/ sqm (na maelewano yapo ili mradi pesa niipate mapema iwezekanavyo).

Contacts: 0763718328
 
Kwa vipomo hivo cjaelewa naomba kuniambia kiwanja unachouza kina mita ngapi upana na urefu
 
Ungeturaisishia kwa kuzidisha hizo sqm kwa hiyo bei yako ili tujue ni kiasi gani maana wengine hatuna calculator karibu
 
Watu wa ardhi ni waajabu sana. Tafuta hiyo hati chapuchapu maana nikinunua ukaniachia mimi kutafuta hiyo hati itakuwa ngumu. Bora nikupe hiyo laki mbili na nusu ufuatilie kuliko mimi.
 
Watu wa ardhi ni waajabu sana. Tafuta hiyo hati chapuchapu maana nikinunua ukaniachia mimi kutafuta hiyo hati itakuwa ngumu. Bora nikupe hiyo laki mbili na nusu ufuatilie kuliko mimi.

Nakusaidia kufuatilia.... hiyo haina shida
 
Kwani mkija na bei halisi ni mbaya. Sio wote wanaojua vipimo vyako mmoja wapo ni mm
 
Pole sana kaka,
Maana nilikua kwenye situation kama yako,
Nilikua na Kiwanja market value yake kama 8mil but nilishusha mpaka 6mil na hakikupata mteja,
Hela imekua ngumu sana siku hizi aisee,
Jaribu pia na kuwapa Watu wa Ardhi hapo Kibaha, ikitokea watu wakaenda kuulizia viwanja basi wakusaidie kuuza pia
 
image.jpeg
Kibaha sehemu GANI?
Visiga,madafu,Msufini,..?Nilisahau kukuuliza hili..
 

Attachments

  • image.png
    image.png
    174.1 KB · Views: 72
  • image.png
    image.png
    226.2 KB · Views: 59
  • image.png
    image.png
    198.8 KB · Views: 54
GPS coordinates:

Point A: Morogoro road:
6 43' 32" S 38 46' 07" E

Point B: Plot location:
6 44' 16" S 38 45' 37" E

Distance from Morogoro road:
➡️44 Seconds (Latitudes) - South from Morogoro road to the plot.

1 second of a latitude = 30.72 metres = 100.77 feet

44 seconds = 44x30.72 metres = 1351.68 metres = 1.35 km

Reference:
www.longitudestore.com/how-big-is-one-gps-degree.html

Kiwanja bado kipo.
Mteja anaweza kulipa hata kwa installments....

Akishindwa kumalizia pesa iliyobaki narudisha ndani ya siku 90 toka muda tuliokubaliana wa kumaliza deni.

Mfano:
First Installment (May): 2,000,000 Tshs
Second installment (June): 1,000,000 Tshs
Third installment (July): 750,000 Tshs...

Mteja akishindwa kumalizia hadi 31 August namrudishia pesa yake yote ndani ya siku 90 kuanzia siku ya mwisho ya mwezi wa ziada ulio ongezea (i.e Sept - Nov).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom