wenzako huwa wanawekaga picha na bei
Guyz, nauza kitanda kdg cha massage kile kma vya hospt ni cha chuma. Pia nauza na sofa ya ktambaa cha mng'ao ya kukaa watu wa3. Anaehtaj aniPM. Karibu
Kaka hapa utapoteza muda Wadanganyika hawafundishiki,kila siku tunaimba kuhusu kuweka picha ya kitu kiuzwacho,pia kuweka bei na mahala muuzaji alipo pamoja na namba za simu lakini ni kazi buure ni kama kumpigia mbuzi gitaa