Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,981
- 46,680
😀Mbona mmefukua makaburi aisee. Halaf ni kuku wageni nyie inaonesha mme-search google weee uchawi uchawi mkaangukia JF mkaona mjiunge kabisa.
Karibuni sana.
😀Mbona mmefukua makaburi aisee. Halaf ni kuku wageni nyie inaonesha mme-search google weee uchawi uchawi mkaangukia JF mkaona mjiunge kabisa.
Karibuni sana.
I love youKinamfaa Beira Baby Boy
Mleta uz cdhan hta ka anaweza kukisoma kitabu hiki sabb ..kitabu hiki sio cha uchaw wala hakifundsh uchaw isipokuwa kimegusia na kuwaelimisha watu juu ya ukafir huu ...ila jins alivowasilisha ameonesha anauza kitabu watu wajifunze uchawImam Ghazali kaandika vitabu zaidi ya kimoja.
Nadhani hapa unaongolea kitabu kiitwacho "Shams Al Maarifa".
Kama ni hicho basi huo si uchawi na ni maarifa na Ilmu tu.
Kama ni hicho mbona vipo madukani.
Unless uwe unaongelea kingine. Weka jina la kitabu.
Bora kufa maskini kuliko kumsaliti Maulana
Wambie hao waamin katika yesu kristo watafanikiwabiblia pekee ndo kitabu cha kusoma,ukikisoma kitabu hicho it means umemkubari shetani
Kwa lugha gani kimeandikwahabari wanajf nauza origino copy ya kitabu cha uchawi,black magic chenye elimu mbalimbali juu ya uchawi,matambiko,mazindiko na mahirizi,na nyota kimeandikwa na imam alghazliyyi....kwa aliye interested anipm.........thanks in advance
natafuta kitabu cha imam ghazal ya babu.