Nauza kitabu cha uchawi

Nauza kitabu cha uchawi

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
503
Reaction score
541
habari wanajf nauza origino copy ya kitabu cha uchawi,black magic chenye elimu mbalimbali juu ya uchawi,matambiko,mazindiko na mahirizi,na nyota kimeandikwa na imam alghazliyyi....kwa aliye interested anipm.........thanks in advance
 
habari wanajf nauza origino copy ya kitabu cha uchawi,black magic chenye elimu mbalimbali juu ya uchawi,matambiko,mazindiko na mahirizi,na nyota kimeandikwa na imam alghazliyyi....kwa aliye interested anipm.........thanks in advance
kuna spell za kuzuia chuma ulete? nimekupm tufanye biashara......maana tanzania bila ulinzi shirikishi hutoki
 
shirk kubwaaa!!!!!hicho kitabu hakifai hata taja jina lake!!!!ole wenu!!!!
 
Imam Ghazali kaandika vitabu zaidi ya kimoja.

Nadhani hapa unaongolea kitabu kiitwacho "Shams Al Maarifa".

Kama ni hicho basi huo si uchawi na ni maarifa na Ilmu tu.

Kama ni hicho mbona vipo madukani.

Unless uwe unaongelea kingine. Weka jina la kitabu.
 
1-4fbaccb8a2.jpg


2-fc2a26aa0e.jpg


3-9622dece6a.jpg
 
Al'aufaq au?? njoo kwangu nikuongezee na hivi Shamsul anwar, mambau usulhekima, sihir kuhan waelim ruhan, HARUTA WAMAARUTA nk nk
 
Kitabu hicho original bei yake tsh 50m,photocopy yake tsh 400000.Cjui kama hapa Tz kinapatikana.
 
Mbona mmefukua makaburi aisee. Halaf ni kuku wageni nyie inaonesha mme-search google weee uchawi uchawi mkaangukia JF mkaona mjiunge kabisa.

Karibuni sana.
 
Muongo mkubwa ..unamjua imam al ghazal wew ....toka lini mchaw mwenye kufundsha watu uchaw akawa imamu ..unajua maana ya imamu au ungemuita al imamul kufriya (imamu wa ukafiri)

Kujifunza uchaw adhabu yke ktk uislamu n panga ipite juu ya shingo yko ...so stop spreading this satanic book
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom