Cha kopoduh milioni mbili? hicho kisamvu cha aina gani?
Mimi mwenyewe nmeshangaaa hasa ukizingatia maelezo yake ya kuwa kakiunga na nyanya nyingi kiasi hicho...Elfu hamsini bei kubwa sana mkuu
Labda akauze masaki, halafu katia na pilipili wakati wengine hatutumiiMimi mwenyewe nmeshangaaa hasa ukizingatia maelezo yake ya kuwa kakiunga na nyanya nyingi kiasi hicho...
Kwa hivyo vionjo na Bei, I can't shake this feeling kuwa kitakuwa nikile kisamvu pendwa cha hii generation yetuLabda akauze masaki, halafu katia na pilipili wakati wengine hatutumii
Labda akauze masaki, halafu katia na pilipili wakati wengine hatutumii
Halafu pilipili yenyewe haijakatwa ni nzima kabisa kama hutumii unaweka kando ila ndo changamoto za biashara lazima nikumbane nazo tu sio mtu wa kwanza kunipa changamoto wapo wengi mno tena wana majibu ya shombo ila basi tu unakua mpole mm najua nafanya nn maana mteja hupaswi kumpa lugha chafuHuyu ni mwanamke mwenzio. Mpe ABC, do and Donts za business sio critcism
3000Tangu lini kisamvu kukauzwa elfu hamsini
Asante dearWatanzania watu wa hovyo nyuzi za kupeana madili mnaleta upuuzi , ingekuwa Ni mada ya Amber ruty mngecomment kwa nidhamu .. Stupid Tanzanians.
BTW hongera Sana dada Mungu akupe nguvu kupotezea hizi negative minds za hawa wapuuzi .. Never get back , keep your head up.
Halafu pilipili yenyewe haijakatwa ni nzima kabisa kama hutumii unaweka kando ila ndo changamoto za biashara lazima nikumbane nazo tu sio mtu wa kwanza kunipa changamoto wapo wengi mno tena wana majibu ya shombo ila basi tu unakua mpole mm najua nafanya nn maana mteja hupaswi kumpa lugha chafuLabda akauze masaki, halafu katia na pilipili wakati wengine hatutumii
Halafu pilipili yenyewe haijakatwa ni nzima kabisa kama hutumii unaweka kando ila ndo changamoto za biashara lazima nikumbane nazo tu sio mtu wa kwanza kunipa changamoto wapo wengi mno tena wana majibu ya shombo ila basi tu unakua mpole mm najua nafanya nn maana mteja hupaswi kumpa lugha chafu
😃😃wanaoharibu lughaUsingeweka Picha, wahuni wangeelewa Kisamvu kingine.
Sijui chochote ndugu yanguHuyu ni mwanamke mwenzio. Mpe ABC, do and Donts za business sio critcism