Nauza kisamvu

Watanzania watu wa hovyo nyuzi za kupeana madili mnaleta upuuzi , ingekuwa Ni mada ya Amber ruty mngecomment kwa nidhamu .. Stupid Tanzanians.

BTW hongera Sana dada Mungu akupe nguvu kupotezea hizi negative minds za hawa wapuuzi .. Never get back , keep your head up.
 
Huyu ni mwanamke mwenzio. Mpe ABC, do and Donts za business sio critcism
Halafu pilipili yenyewe haijakatwa ni nzima kabisa kama hutumii unaweka kando ila ndo changamoto za biashara lazima nikumbane nazo tu sio mtu wa kwanza kunipa changamoto wapo wengi mno tena wana majibu ya shombo ila basi tu unakua mpole mm najua nafanya nn maana mteja hupaswi kumpa lugha chafu
 
Watanzania watu wa hovyo nyuzi za kupeana madili mnaleta upuuzi , ingekuwa Ni mada ya Amber ruty mngecomment kwa nidhamu .. Stupid Tanzanians.

BTW hongera Sana dada Mungu akupe nguvu kupotezea hizi negative minds za hawa wapuuzi .. Never get back , keep your head up.
Asante dear
 
Labda akauze masaki, halafu katia na pilipili wakati wengine hatutumii
Halafu pilipili yenyewe haijakatwa ni nzima kabisa kama hutumii unaweka kando ila ndo changamoto za biashara lazima nikumbane nazo tu sio mtu wa kwanza kunipa changamoto wapo wengi mno tena wana majibu ya shombo ila basi tu unakua mpole mm najua nafanya nn maana mteja hupaswi kumpa lugha chafu
 
Pamoja dear

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom