Nauza kamera aina ya sony digital kwa bei pouwaaa

DENNIS A. THOMAS

New Member
Oct 2, 2015
4
0
Nauza kamera aina ya sony ni digital ,ni nzuri kwa shughuli za kikazi na nyumbani.ni sony cyber-shot mega pixels 14.1,, optical steady shot dsc-w350... Tatizo lake ni betri haikai na chaji.... Bei yake ni 100000 na bei ya kuuzia ni 70,000/= .kwa mawasiliano nitafute ktk 0765596933/ 0672369962.. Picha hizi hapo chini
 

Attachments

  • IMG_20151015_183102.jpg
    IMG_20151015_183102.jpg
    202 KB · Views: 158
  • IMG_20151015_183149.jpg
    IMG_20151015_183149.jpg
    181.8 KB · Views: 119
  • IMG_20151015_184030.jpg
    IMG_20151015_184030.jpg
    217.3 KB · Views: 117
Back
Top Bottom