Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Nina jengo langu Kariakoo lina floor 5, nauza floor 3 za juu.
PM au email: mchunguzihuru@gmail.com, ASANTENI.

id yako tu inaondoa usiriazi wa biashara.Nina jengo langu Kariakoo lina floor 5, nauza floor 3 za juu.
PM au email: mchunguzihuru@gmail.com, ASANTENI.
id yako tu inaondoa usiriazi wa biashara.
haya endelea kupiga supu ya mawe na chapati za mchanga.
hahahhaha leo kachanganya mafaili,id mbili za nini watu bwana
Kajikaanga mwenyewe tushamjua na Uless wake!
Sent from mchana nzi usiku mmbu using JamiiForums
id yako tu inaondoa usiriazi wa biashara.
haya endelea kupiga supu ya mawe na chapati za mchanga.
hahahhaha leo kachanganya mafaili,id mbili za nini watu bwana
shostito we nomaaa....
banned:smile-big: