Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,958
- 30,126
Kuna kitu tunashindwa kukielewa.lete 9M nakuletea IST mpaka getini kwako...hiyo bei umeweka faida kubwa sana mzee shuka uko juu sana
Wewe ukiileta hiyo gari kwa hiyo 9Mil utaiuza kwa Tshs ngapi? Labda tuseme utataka faida ya 1.5Mil, so utauza kwa 10.5Mil minimum.
Haya, watanzania tuna kawaida ya kulia bei, katika hiyo 10.5Mil utangaze bei bei gani kianzio ili mteja akiomba punguzo bei irudi kwenye hiyo 10.5Mil??
Na hapo hiyo 9Mil inaweza kua umeitaja tu, but pengine labda likaku-cost zaid mpaka 10Mil.