favoured
Member
- May 5, 2014
- 18
- 1
Wapi? MkuuMmmmmm mbona kama hiyo kabsa kuna duka inauzwa laki saba tu?????
Wanajamii,
Nauza Iphone 6, nimepata dharura hivyo nnahitaji hela (Nimeinunua ila nimepata dharura, I need Money). Bei ya kuuza 1.6milion, Niko Dar.
Kwa mawasiliano piga 0717633724.. Tafadhali upige simu kama mnunuzi tu.
Picha yake hiyo nime-attach.
Mpya haijafunguliwa kwa box, ina seal yake ya guarantee 2 yrs.. malezo pale juu yajitosheleza jamani ahsante aliyepiga akiiona atacomment ...