Nauza idea

Nauza idea

WAKUONDOKA

Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
46
Reaction score
24
Rejea title hapo juu mimi nina idea niliyoiandikia proposal ambayo nimewasilisha azam tv na katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, ilipofikia ni pazuri kuna gharama za kuendelea na utengenezaji wa clip ya dakika 30 na gharama zingine ndogondogo ili nitakapokamilisha tuende kwenye makubaliano ya kimkataba wa vipindi na wadhamini, gharama ambazo kwa upande wangu zinanielemea kuzimudu.

Kwa atakaependezwa na project ya idea hii tuwasiliane ama nimuuzie aendelee nayo au tuifanye pamoja achangie gharama za uendeshaji.
Note: Hatimiliki ya idea imezingatiwa

Tuwasiliane 0652669892/0625809895
 
kama hakimiliki imehifadiwa unaogops n? hiyo idea ni ya kipindi cha kuhusu nini na wadhamini unao tayari?
 
Siwezi kuweka kila kitu apo alie tayari anitafute kama haupo tayari basi
 
hakuna idea nzuri na ya uhakika iliyowahi kukosa support kiasi cha kuomba mpaka JF...na kingine if you are smart enough there are plenty of donors on the internet just get the impressed and attract their interest..they are definetly going to support you....
 
Naomben mnisaidie HV kulusha habari live kwenye TV na kutoa habari kwenye gazeti bei gani???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom