Hhahaahhaaaa unataka kujifunza na kuanza kuelimisha jamii juu ya uchawi na ushirikina.... heheheeee ngoja nimuite yawezekana nae anatafuta mnunuzi. mshana jr
Jamani mwenye kuhitaji ID yangu ya Mudawote naiuza. Masharti, atakayeinunua anatakiwa aendeleze mapambano zidi ya ukawa/chadema na awe mtiifu kwa CCM na viongozi wake.