Nauza heka moja Tabata Kinyerezi-mil 30

Pia mfaham kwamba kinyerezi kuna red lines baadhi ya maeneo,asiende mtu kichwa kichwa bila kufuatilia.

Mama yangu mdogo alijifanya kujua na kununua nyumba,ikala kwake
Mkuu tupe taarifa za kueleweka hiyo Red lines ndio kitu gani?
 
vp mkoani unatuma?mi nataka [kununuaila nipo geita
 
...we mpemba ulijifia,
..yani umejifufua kuja kufanya uchawi kwenye biashara ya mtu!
Hahaha,nipo mkuu
Haana,unajua sijasema kiwanja kina tatizo,ila nimetoa hadhari kwamba mnunuzi yoyote wa kiwanja kwa sasa atafute mwanasheria ili amsimamie kuanzia kukitrace wizarani.
Kumbuka Kinyerezi kuna nyumba zimekula kwao kwa kuwa eneo sio la makazi
 
Bei kubwa atanunua nani uza Kwa bei hio ili utatue shida zako hio bei ni sawa kama yeye alinunua million 3 zamani si ishamlipa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…