Nauza heka moja Tabata Kinyerezi-mil 30

Nauza heka moja Tabata Kinyerezi-mil 30

Pia mfaham kwamba kinyerezi kuna red lines baadhi ya maeneo,asiende mtu kichwa kichwa bila kufuatilia.

Mama yangu mdogo alijifanya kujua na kununua nyumba,ikala kwake
Mkuu tupe taarifa za kueleweka hiyo Red lines ndio kitu gani?
 
Nauza kiwanja cha heka moja kipo Tabata Kinyerezi unashuka Kinyerezi Magengeni au stendi ya zamani kutoka hapo mpaka kwenye kiwanja ni kilomita 1 au kwa miguu dakika 25 kwa chombo cha moto dakika, kuna barabara ya gari mpaka kwenye kiwanja na kuna umeme hapo hapo kwenye kiwanja, kiwanja tulianza taratibu za kupima lakini hatukumaliza kutokana na fedha eneo ni tambalale bei ni milioni 30 kwa maelezo zaidi piga 0714 11 44 53.

Sent using Jamii Forums mobile app
vp mkoani unatuma?mi nataka [kununuaila nipo geita
 
...we mpemba ulijifia,
..yani umejifufua kuja kufanya uchawi kwenye biashara ya mtu!
Hahaha,nipo mkuu
Haana,unajua sijasema kiwanja kina tatizo,ila nimetoa hadhari kwamba mnunuzi yoyote wa kiwanja kwa sasa atafute mwanasheria ili amsimamie kuanzia kukitrace wizarani.
Kumbuka Kinyerezi kuna nyumba zimekula kwao kwa kuwa eneo sio la makazi
 
Bei kubwa atanunua nani uza Kwa bei hio ili utatue shida zako hio bei ni sawa kama yeye alinunua million 3 zamani si ishamlipa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom