Nauza gold metal detectors mpya tatu.

Nauza gold metal detectors mpya tatu.

Mtafiti Madini

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
101
Reaction score
38
salama wakuu!
kwa wale mnajishughulisha na utafutaji wa madini kama dhahabu na germstones hii inawafaa sana.
Nauza gold,silver na germstones detectors 3.
kwa muhitaji ani pm fasta kwa maelezo zaidi
 
Tujulishe:

Kama ni mpya au mtumba
Brand type
gold_metal_detector_in_China_GF2.jpg_350x350.jpg
Ni mpya kabisa kutoka china na zimejaribiwa zinafanya kazi vizuri
 
kaka je zinaenda kwa Mita au Kilomita ngap?
Mkuu samahani kwa kutokukujibu kwa wakati.Nilikuwa porini huko ndo nimefika sehemu nzuri sasa. Zilizobakia kwa sasa,zinapima wastani wa Mita tano (05) tu kwenda chini ya ardhi.
 
Back
Top Bottom