Nauza glass protector Kwa jumla

Nauza glass protector Kwa jumla

cathy collent

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
11
Reaction score
5
Habari wana jf
Nauza glass protector kwa bei ya jumla..
Elfu moja moja kuanzia kumi .
Protector zilizopo ni za iPhone, Samsung, LG, huawei na techno
Kama unahitaji nitext pm au njoo directly kwny namba hii 0625216992
Karibun sana
IMG_20181001_105225.jpeg
IMG_20181001_105211.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20181001_104609.jpeg
    IMG_20181001_104609.jpeg
    48.3 KB · Views: 37
Samahani hizo glass protector zinasaidia nini naomba ufafanuzi.
 
Glass protector zinasaidia kulinda kioo cha smartphone yako.. Ukiweka glass protector incase simu imeangukia upande wa kioo mpasuko utaishia kwny protector
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Inategemea na muanguko wa simu ulivyotokea lakini.
 
Back
Top Bottom