Nauza gari yangu alteza

Nauza gari yangu alteza

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
5,896
Reaction score
6,071
Nauza gari yangu kali sana used like new,alteza cc 1990 haina kipengele hata kimoja unawasha unaenda mkoa wowote.bie naanzia 5.5mil maongezi kidogo yapo.gari ipo sinza vatican .
0752649984View attachment 2749762View attachment 2749763View attachment 2749764View attachment 2749765View attachment 2749766
IMG-20230914-WA0016.jpg
 
Nimehamishwa mkoa kikazi mimi ni mtumishi wa serikali huku natumia gari ya ofisi muda wote,ukija pembeni tunaongea fresh
So gari ya ofisi utakuwa unafika nayo bar/ msikitini/ kanisani/ kijijini kwenu??
 
Back
Top Bottom