mkuu milioni mbili hizi hapa,
kwanini nilioni mbili,
(a)muda wa maisha wa gari yako(life span)imebakinchache,kwakuwa gari yenye CC 990 kutembea km 230,000 ni sawa na binadamu kuwa na miaka 75,kama ni mwanamke HAOLEWI TENA.
(b)Milango mitatu ni kuwa abiria akipanda nyuma na mwingine mbele na wa nyuma akawahi kufika safari yak(destination),basi wa mbele ni lazima ashuke hata kama ni mgonjwa au mzee kama hiyo gari na hata akiwa baba yako,na zaidi ni kuwa,ikiwa inanyesha ni lazima alowe hata wa mbele,na kam ni hatari itawakumba wote.
(c) uchumi hauruhusu kununua gari tegemezi ambayo hata hutaweza kuifanya tax bubu ukikwama,ila naihitaji kwa shughuli fulani.
Njoo pm nikupe ela.