Habari zenu wandugu, nauza gari yangu aina ya Vitz ya milango mitatu (Bei ya kuanzia kuuza ni Tshs. 4,200,000/=) Pungufu unaongea, dhumuni la kuuza gari hii ni kutaka kubadilisha gari, ni gari ninayoitumia kila siku katika mizunguko yangu kutoka Goba ninapoishi mpaka Kinondoni ninapofanyia kazi. Kama niliposema awali nataka kubadilisha gari, nahitaji kununua Noah pindi nitakapouza gari hii ama kama kutakuwa na mtu ana Noah (Old Model yenye Injini ya 3S) namba yoyote ile tunaelewana nampa Vitz yangu na kumuongezea na pesa kidogo ili anipatie Noah.
Gari yangu ni ya mwaka 2003, namba T 985 BEM, (Kilometers 230,000) unaweza kujiuliza kwanini ina kilometers nyingi? Ni kwasababu aliyeniuzia alikuwa anaitumia kwa ajili ya masafa marefu Tanga na Kigoma kwa hivyo alipoamua kuiuza nilikuwa na jopo la mafundi wangu kama kawaida wakaikagua gari na wakanidhibitishia kuwa ni gari ambayo haina shida na tangu nimeinunua haijawahi kunisumbua na dhumuni ya kuiuza ni kutaka kubadilisha gari, na laiti kama ningekuwa nina pesa ya kutosha ya kununua Noah, basi hii gari yangu Vitz nisingeiuza kwakuwa bado naipenda na ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana.
Natanguliza shukrani za dhati Namba yangu ya simu ni 0716 00 23 23 (Mimi Frank JB ndie mmiliki wa gari na sio Dalali), Asante.