Nauza gari na kiwanja

Nauza gari na kiwanja

GARETHBALE

Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
76
Reaction score
333
Natumaini wote hamjambo.
Nauza gari aina ya Subaru Impreza (Statiom Wagon) kwa tsh 3.5M pia nauza kiwanja kipo DSM maeneo ya Mbagala Kichemchem kwa tsh 4M. sababu za kuuza mama yangu anaumwa nataka nimpeleke India kufanya operation, Natanguliza shukrani, maelewano yapo, wasiliana nami kwa namba 0652713522
 
Pole sana mkuu!
Mungu akusaidie...
 
Natumaini wote hamjambo.
Nauza gari aina ya Subaru Impreza (Statiom Wagon) kwa tsh 3.5M pia nauza kiwanja kipo DSM maeneo ya Mbagala Kichemchem kwa tsh 4M. sababu za kuuza mama yangu anaumwa nataka nimpeleke India kufanya operation, Natanguliza shukrani, maelewano yapo, wasiliana nami kwa namba 0652713522

Pole sana chief...nimeumia sana. Mungu akufanikisha na mama apate matibabu stahili na apone.
 
Pole sana mkuu.
Mbona bei ya hiyo gari ipo chini hivyo (3.5)? Ina hali gani? Kama ina hali nzuri weka bond uchukue hela zaidi ya hiyo.
Ushauri tu.
 
Pole sana swahiba Mungu amjalie afya njema bi mkubwa.
Ukiweza weka specification za gari na picha itakusaidia kuuza haraka,pia weka maelezo ya kutosha kuhusu kiwanja kama ukubwa na uwepo wa hati.
InshAllah ufanyiwe wepesi lengo litime mapema.
 
Mkuu pole sana, fafanua hizo mali sifa zake hope utafanikiwa tu
 
pole mkuu...natamani ningekuwa na hiyo ela nikwambie uweke bond bi mkubwa akipona unaleta ela unachukua
 
pole sanaa bro!
Dah,afya ya mama kwanza,pesa makaratasi..unaweza tafuta pesa ila si uhai ukishatoweka..
kikubwa weka picha za hivyo vitu apa pa1 na specifications zake,utauza fastaa...
 
Daa,kweli mkuu,Mungu akusaidie upate wateja.leo hii.
 
Jf raha sana!uzi huo usingekuwa na hiyo sentensi ya mama anaumwa jamaa angeishia kujibiwa subaru ya m.3 ina injini ya boxer na kashfa nyingine kibao
 
Natumaini wote hamjambo.
Nauza gari aina ya Subaru Impreza (Statiom Wagon) kwa tsh 3.5M pia nauza kiwanja kipo DSM maeneo ya Mbagala Kichemchem kwa tsh 4M. sababu za kuuza mama yangu anaumwa nataka nimpeleke India kufanya operation, Natanguliza shukrani, maelewano yapo, wasiliana nami kwa namba 0652713522

daah nime jikuta nawaza mambo mengi sana....Mungu akusaidie mkuu mama atapona tu.
 
Duh nimejikuta naumia sana moyoni. Kuna situations ambazo hazielezeki kabisaaaa. Sijui nianzie wapi yaani nimemuona Mama yangu kabisaaaa. Pole sana, mie uwezo wa kununua sina. Ila weka picha ya hivyo vitu nikusaidie, sio udalali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom