Nauza gari na kiwanja

GARETHBALE

Member
Dec 22, 2013
76
332
Natumaini wote hamjambo.
Nauza gari aina ya Subaru Impreza (Statiom Wagon) kwa tsh 3.5M pia nauza kiwanja kipo DSM maeneo ya Mbagala Kichemchem kwa tsh 4M. sababu za kuuza mama yangu anaumwa nataka nimpeleke India kufanya operation, Natanguliza shukrani, maelewano yapo, wasiliana nami kwa namba 0652713522
 
Dah.......pole sana mkuu.......umenigusa sana.......I wish ningekuwa katika situation ya kununua hivyo vitu........pole sana na mama atapona........
 
Natumaini wote hamjambo.
Nauza gari aina ya Subaru Impreza (Statiom Wagon) kwa tsh 3.5M pia nauza kiwanja kipo DSM maeneo ya Mbagala Kichemchem kwa tsh 4M. sababu za kuuza mama yangu anaumwa nataka nimpeleke India kufanya operation, Natanguliza shukrani, maelewano yapo, wasiliana nami kwa namba 0652713522

Pole sana,

Kiwanja kina ukubwa gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom