masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,369
- 19,212
Onyesha mbele na ndani mzee tuone kama bado imenyooka tukuletee pesa hiyo gx90
hahha nahis kaigonga mbele
Onyesha mbele na ndani mzee tuone kama bado imenyooka tukuletee pesa hiyo gx90
Kula mill2
hayo barabarani ndiyo utalitambua kwa nini mjapani kalivisha silinda sita!
naomba Google au nitajie ni lini hiyo aina ya gari yako hapa ULIMWENGUNI imeingizwa katika mashindano ya magarihayo barabarani ndiyo utalitambua kwa nini mjapani kalivisha silinda sita!
Kumbe na wewe una Gx90
Gari hazitembelei vifua basi FIAT mbaula ingekuwa na mwendo km ni kutoka Dar kwenda Songea
nimekupa uwezo wa injini na utumiaji wa mafuta basi hii post sikukuelewa ni barabara gani
naomba Google au nitajie ni lini hiyo aina ya gari yako hapa ULIMWENGUNI imeingizwa katika mashindano ya magari
Motorace zote huwezi kosa Toyota Corolla au Toyota Carina sio migari kama GX Bravis, Verossa, Mark X hayaamooo
km una Ballon hapo juu na unatumia ID mbili jaribu kuweka hata mileage zake maana hizi gari mwisho wake kuwa barabarani ni mwaka kesho iuze mapema km utakosa hiyo 3m isije kuwa scrper
Kwa barabara gani za hapa Tanzania zenye tochi kibao?
Kwenye starting tu GX 90 mpaka GX 100 hamna kitu machovu hasa na ndio maana hata kwenye mashindano yoyote ya magari Ulimwenguni hayajawahi shiriki
Corolla au Carina Ti USISEME shooting yake hadi 100km/h ni ndani ya 10sec
nilishawahi teremka na Corolla ya kizamani AE 100 njia ya Chalinze - Moro zilikuwepo Toyota Grand zenye injini ya GX na Ballon yako ilikuwepo na vigari vidogo km Toyota IST Ballon tulimuacha mbali sana na IST alituongoza hatukumuona
Kwa hiyo Technology ya hizi Ballon imepitwa na wakati na sijui km zipo tena kwenye soko la 2010
Ballon 1990 cc
IST 1500cc
Corolla 1499 cc
ushaona kama ina injini...huenda haina injini ndo maana picha inaonesha nyuma