Nauza gari ist

Nauza gari ist

8d26a31bea18389014f9394e6e9338c9.jpg
Hahahaha umeshauza dashboard hivi sasa unauza seat???

Wonders shall never end wallah
 

Boss mbona unacheza na akili zetu????

Unajua kama Tanzania hakuna gari yoyote yenye number za I wala O kwasababu zinaleta mkanganyiko kwenye 1 na 0.

Hebu kuwa serious kama kweli unauza upewe hela
 
Hakuna kitu hapo anazingua tu hyo,,unaleta pcha za milango na dashboard unataka watu wakueleweje
 
Mtu Kama yupo serious njoo pm... only shillings 8.5 mil
 
Back
Top Bottom