M Muite JF-Expert Member Sep 10, 2013 2,342 4,801 Dec 10, 2016 #2 Toa specification zake na bei. Sio unasema tu unauza gari
Mwandumi Senior Member Nov 30, 2016 149 85 Dec 10, 2016 #4 Lete bei hapa watu tunahela zetu xa korosho
chongchung JF-Expert Member Jun 23, 2013 12,054 34,930 Dec 10, 2016 #6 No pictures no price no specifics no where no contacts no nothing
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 80,836 93,624 Dec 10, 2016 #7 Ungeweka na picha ya gari.
M Mapya Yaja JF-Expert Member Feb 8, 2013 560 403 Dec 10, 2016 #8 si ungepiga picha hata gari la jirani yako uweke kuliko kudanganya watu kuwa na wewe unamiliki gari!
pingu mkoka JF-Expert Member Dec 10, 2013 434 110 Dec 10, 2016 #9 Vuteni subira!ndo anahangaika kutafuta kagari apige picha