Nauza gari hii bei nafuu kabisaa

Nauza gari hii bei nafuu kabisaa

kichomiz .unajua hata bungeni kuna wabunge waelewa na wasio waelewa wanafanya mambo ya kitoto. Nimeweka tu hii gari yangu huku kwakua hii familia ya jf ni kubwa na unaweka kitu cha uhakika na wengi wetu humu wanauelewa mkubwa ndo mana wanauliza maswali yenye mantic ili wengi wapate kujua kuhusu kitu husika kinachouzwa.
 
Last edited by a moderator:
Inapoa kidogo kama unahitaji nicheck ktk hiyo no hapo juu nzalendo
 
Last edited by a moderator:
Bei nafuu sana hiyo kama gari ingekua mbovu ningeuza bei rahisi ili uitengeneze ukweli iko pouwa sanaaaa nzalendo
 
Last edited by a moderator:
Basi ishia hapo hapo, mtalaumiana bure! We chukua suzuki kei ni mwisho wa kiwese, lita moja unatembea mpaka unahisi gari "mbovu", maana mafuta hayaishi! bwahahahaha.

mdau unaniachaga hoi sana.
Kile kitaa chetu cha Car Deals Tz sijakusoma kitambo kweli.
Kulikoni?
 
nyaumbwii Ipo bado mimi narudi dar jumatano nilisafiri.nipigie tuongee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom