kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,878
Hiyo ni aina ya Engine mkuu,,, garage zetu za uswazi mafundi wanazishindwa kabisa....
true ndugu ma fundi wetu uswazi wana zishindwa
Hiyo ni aina ya Engine mkuu,,, garage zetu za uswazi mafundi wanazishindwa kabisa....
Oya haili mafuta sana ulaji wake ni wakawaida tu .mbona inajieleza yenyewe wakuu
Hahahaah! Umevurugwa wewe...Watu wngine bwana eti alinyw mafuta we ulitaka linywe MCHEMSHO
Bata ukimchunguza sana hutomla,
We kama umekolea nayo jiingize mzima mzima!!
hebu sema kwanza imekwenda km ngapi??
ilishawah kupata ajali??
umewah kupiga nayo safari za mbali?
Watu wngine bwana eti alinyw mafuta we ulitaka linywe MCHEMSHO
Hahahaah! Umevurugwa wewe...
Hiyo ni aina ya Engine mkuu,,, garage zetu za uswazi mafundi wanazishindwa kabisa....
Ha ha ha ha,Watu wngine bwana eti alinyw mafuta we ulitaka linywe MCHEMSHO
Ha ha ha ha,
May be SUPU!!
Kufanya biashara jf yataka moyo kwa kweli.
Kwann mkuu