chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,089
- 1,026
Kwani magari ya CRDB uwa yana namba za serikali au binafsi kaka. Hapo sijaelewa kabisa. Ninachofahamu Crdb ni kampuni ya umma na magari yake yanasajiliwa na namba binafsi
Kwani magari ya CRDB uwa yana namba za serikali au binafsi kaka. Hapo sijaelewa kabisa. Ninachofahamu Crdb ni kampuni ya umma na magari yake yanasajiliwa na namba binafsi
Unauza kwa maandishi tu bila picha mkuu?
Mkuu huku nilipo kidogo netwrk ni tatizo ila naamin mpaka kesho mchana zitakuwa tayar xo usiwe na shaka mkuu
Bei inazungumzika mkuu xo usiogope saana kwa kuwa eti hujajiandaa
Andika kiume...au ww jike nini?..."xo" ndo nini?
Cyo makosa yako ni makosa ya ubongo wa sabb lengo la wewe kuja hapa ni kuangali biashara na cyo kokosoa kwa hiyo fuata kilichokuleta
We unapokosea nan anakuhukumu....