ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Mar 10, 2021 #1 Habari wadau. Nina gari yangu aina ya IST naiuza. Ipo kwenye hari nzuri sana. Niliagiza ins kama week moja tu lakini nataka nibadilidhe gari nyingine. Bei ni milion 12.5 tu
Habari wadau. Nina gari yangu aina ya IST naiuza. Ipo kwenye hari nzuri sana. Niliagiza ins kama week moja tu lakini nataka nibadilidhe gari nyingine. Bei ni milion 12.5 tu
dojonase JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 1,717 Reaction score 2,367 Mar 10, 2021 #2 Atakama ushuru umepanda uwezi uza iyo gari bei iyo
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,351 Reaction score 38,941 Mar 10, 2021 #3 Ipo 8 hapa chukuwa
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,351 Reaction score 38,941 Mar 10, 2021 #4 Piga picha za ndani na kwenye mashine
ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Mar 10, 2021 Thread starter #5 dojonase said: Atakama ushuru umepanda uwezi uza iyo gari bei Click to expand...
ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Mar 10, 2021 Thread starter #6 dojonase said: Atakama ushuru umepanda uwezi uza iyo gari bei iyo Click to expand... Wewe sema una sh. Ngapi kwenye hiyo bei. Ushuru ni kweli umepanda
dojonase said: Atakama ushuru umepanda uwezi uza iyo gari bei iyo Click to expand... Wewe sema una sh. Ngapi kwenye hiyo bei. Ushuru ni kweli umepanda
ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Mar 10, 2021 Thread starter #7 Waterloo said: Piga picha za ndani na kwenye mashine Click to expand... Okey. Napiga picha nitatuma muda si mrefu
Waterloo said: Piga picha za ndani na kwenye mashine Click to expand... Okey. Napiga picha nitatuma muda si mrefu
ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Mar 10, 2021 Thread starter #8 8 chini sana boss wangu
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,761 Reaction score 6,042 Mar 10, 2021 #10 Tatizo madalali mnapenda cha juu hiyo hela si unavuta nyingine showroom
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,427 Reaction score 24,146 Mar 10, 2021 #11 dojonase said: Atakama ushuru umepanda uwezi uza iyo gari bei iyo Click to expand... Ndugu ist unaijua au unaisikia.... Amini nakuambia iyo gari anauza na hatomaliza nayo wiki mkononi....
dojonase said: Atakama ushuru umepanda uwezi uza iyo gari bei iyo Click to expand... Ndugu ist unaijua au unaisikia.... Amini nakuambia iyo gari anauza na hatomaliza nayo wiki mkononi....
ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Mar 10, 2021 Thread starter #12 desayi said: Tatizo madalali mnapenda cha juu hiyo hela si unavuta nyingine showroom Click to expand... Showroom hupati kwa 12 mil sasa hivi ushuru umepanda kiongozi. Showroom 14 mil mwisho 13 mil
desayi said: Tatizo madalali mnapenda cha juu hiyo hela si unavuta nyingine showroom Click to expand... Showroom hupati kwa 12 mil sasa hivi ushuru umepanda kiongozi. Showroom 14 mil mwisho 13 mil
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,847 Reaction score 129,772 Mar 10, 2021 #13 farharu said: 10 chap Click to expand... Akikwambia lete hio 10 hutaonekana!
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,761 Reaction score 6,042 Mar 10, 2021 #14 ribussama said: Showroom hupati kwa 12 mil sasa hivi ushuru umepanda kiongozi. Showroom 14 mil mwisho 13 mil Click to expand... Sasa si bora niongeze 1m nivute kitu bila longolongo
ribussama said: Showroom hupati kwa 12 mil sasa hivi ushuru umepanda kiongozi. Showroom 14 mil mwisho 13 mil Click to expand... Sasa si bora niongeze 1m nivute kitu bila longolongo
ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Mar 10, 2021 Thread starter #15 ze-dudu said: Ndugu ist unaijua au unaisikia.... Amini nakuambia iyo gari anauza na hatomaliza nayo wiki mkononi Click to expand... Waambie bora wewe umesema... nadhani hawawajui Badala waseme wana kiasi gani wanakebehei
ze-dudu said: Ndugu ist unaijua au unaisikia.... Amini nakuambia iyo gari anauza na hatomaliza nayo wiki mkononi Click to expand... Waambie bora wewe umesema... nadhani hawawajui Badala waseme wana kiasi gani wanakebehei
ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Mar 10, 2021 Thread starter #16 desayi said: Sasa si bora niongeze 1m nivute kitu bila longolongo Click to expand... Kaongeze ukachukue
desayi said: Sasa si bora niongeze 1m nivute kitu bila longolongo Click to expand... Kaongeze ukachukue
ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Mar 10, 2021 Thread starter #17 RRONDO said: Akikwambia lete hio 10 hutaonekana! Click to expand... Kama ulikuwepo... nikisema alete hata hiyo 10 nduki
RRONDO said: Akikwambia lete hio 10 hutaonekana! Click to expand... Kama ulikuwepo... nikisema alete hata hiyo 10 nduki
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,427 Reaction score 24,146 Mar 10, 2021 #18 desayi said: Sasa si bora niongeze 1m nivute kitu bila longolongo Click to expand... Kwani iyo sio mpya
desayi said: Sasa si bora niongeze 1m nivute kitu bila longolongo Click to expand... Kwani iyo sio mpya
mancush Member Joined Feb 9, 2021 Posts 33 Reaction score 32 Mar 10, 2021 #19 Nakupa milioni Saba tuuu
johnhance JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,134 Mar 10, 2021 #20 kamata 9m fasta