Nauza friji American style aina ya Samsung

Nauza friji American style aina ya Samsung

Friji ipo kwenye hali nzuri ni kama mpya haijachezewa sehemu yoyote tangu ilitoka ulaya bei 1500,000

Atakayelinunua hili friji atatafuta kulia mbele ya safari, walilikolokochoa kwa mafundi, leo jamaa anatafuta mtu wa kumtwisha huu mzigo, hata aibu huoni dah! Hamna kitu hapo kama kuna mtu pesa yake haina kazi akalinunue dude hilo, atakayenunua atakuja kunipa feedback hapa, nipo hapa hapa.
 
Back
Top Bottom