Diplomatic Imunnity
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,179
- 320
Acha ushamba ww umeme ulaji wake wa kawaida tu
Ushamba? How ?kuuliza ulaji wake wa umeme ni ushamba? Kweli ujasiriamali kipaji no more details about your product....zaidi ya bei...kila kitu cha electronic ulaji wa umeme umetofautiana iwe tv, fridge yote yanatofautiana, ulaji wa umeme wa bidhaa yako unatofautiana na bidhaa ya mtu mwingine so usijidanganye kuwa ulahi wake ni wa kawaida tu iangalir vizuri energe consumption yake ikoje then weka mezani watu wajipime
Hajalazimishwa mtu kununua ok mm nauza sababu nimenunua jingine lenye water dispensa hivyo sina sababu ya kumlazimisha mtu mwenye nia ya dhati atanunua kama hamna litakaa store tu
Hajalazimishwa mtu kununua ok mm nauza sababu nimenunua jingine lenye water dispensa hivyo sina sababu ya kumlazimisha mtu mwenye nia ya dhati atanunua kama hamna litakaa store tu
Steve unajua humu kuna mijitu mijinga sana ikishashiba ugali wa shemeji zao wanakuja kuropoka tu kama umeona uliitaji pita kimya kimya bwana
onyo.;usinunue hii bidhaa,nadhan muuzaj amejiönyesha makucha yake
Friji ipo kwenye hali nzuri ni kama mpya haijachezewa sehemu yoyote tangu ilitoka ulaya bei 1500,000