Asanthe mkuu ntalifanyia kazi,vip naweza kupata contact za hao jamaa wasafirishaji
Ha ha hahhahahah tusihame bongo aisee hahhaha
Umejuaje itamgharimu na kurudisha mipango yake nyuma!? Tunatofautiana vipato, malengo na mipango ndugu.Kweli kabisa fata ushauri wa huyu kuuza vitu itakugharimu mara mbili na kukurudisha nyuma mipango yako
Muhimu tembelea ofisi za posta pale bamaga pembeni ya startimes kuna ofisi ndogo uende ukaulize utaratibu
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Yeye kasema anauza wewe unampa ushauri.
Dah Jamaa hajaomba ushauri wewe unatoa ushauri,Jamaa anauza mali yake halali na kwake hiyo uenda ndio best option wewe unamshauri asiuze, hii huruma huruma ya Kitanzania ndio inatukwamisha sana kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa kwa ujumla Aisee,maana kila Mtanzania anajua best option ya mtanzania mwenzake hata kama hamjui.Mkuu vipeleke posta wanakusafirishia kwa gharama nafuu sana. Sikushauri kuuza vitu vyako eti kisa tu unahama mkoa.
Kuna jamaa yangu alihamishwa kikazi kutoka Kibaha kwenda Mbeya. Alikuwa na furniture na vitu kibao TV, Fridge n.k alivipeleka posta na vilifikishwa Mbeya ndani ya siku tatu tu kwa gharama nafuu sana.
Nenda Posta mpya kule nyuma sehemu ya cargo, watakusafirishiaAsanthe mkuu ntalifanyia kazi,vip naweza kupata contact za hao jamaa wasafirishaji
Ukishauza kuvirudishia inakuwa kazi bora uhame navyo.ohoo asante hili nilikua sijui siku nikitaka kuhama sehemu niliko nitalifanyia kazi
Ipo Vzuri Sana Ila mi nikiwa nayo naisi nitachelewa kuoaNingekua na pesa ningenunua washing mashine,bei ndogo sana hiyo kulinganisha na zilizopo insta
Yeye kasema anauza wewe unampa ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ha ha ha ha hihi hihi hihi hihi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Niko peke yangu ila nimecheka sana asee
Ataangalia ushauri unaomfaa si ajabu hana na hata Kama anavyo si ajabu hauzi. Jibu analo mwenyewe.Umejuaje itamgharimu na kurudisha mipango yake nyuma!? Tunatofautiana vipato, malengo na mipango ndugu.
Ni sawaAtaangalia ushauri unaomfaa si ajabu hana na hata Kama anavyo si ajabu hauzi. Jibu analo mwenyewe.
Mkuu kuna wakubwa waliwahi kuniambia ukinunua vitu vya ndani ukiona umeanza kuuza ujue basi kazi kwisha weweUmejuaje itamgharimu na kurudisha mipango yake nyuma!? Tunatofautiana vipato, malengo na mipango ndugu.
Leave or take..Dah Jamaa hajaomba ushauri wewe unatoa ushauri,Jamaa anauza mali yake halali na kwake hiyo uenda ndio best option wewe unamshauri asiuze, hii huruma huruma ya Kitanzania ndio inatukwamisha sana kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa kwa ujumla Aisee,maana kila Mtanzania anajua best option ya mtanzania mwenzake hata kama hamjui.