Nauza Fridge pamoja na washing machine bei chee

Kwa nini usihame navyo? Si ulipie tu kwa wasafirishaji mizigo kwenda mikoani?
 
Mkuu vipeleke posta wanakusafirishia kwa gharama nafuu sana. Sikushauri kuuza vitu vyako eti kisa tu unahama mkoa.

Kuna jamaa yangu alihamishwa kikazi kutoka Kibaha kwenda Mbeya. Alikuwa na furniture na vitu kibao TV, Fridge n.k alivipeleka posta na vilifikishwa Mbeya ndani ya siku tatu tu kwa gharama nafuu sana.
 
ohoo asante hili nilikua sijui siku nikitaka kuhama sehemu niliko nitalifanyia kazi
 

Asanthe mkuu ntalifanyia kazi,vip naweza kupata contact za hao jamaa wasafirishaji
 
Yeye kasema anauza wewe unampa ushauri.
 
daka 150,000/- cash mkuu kwa washing machine
niko makumbusho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…