Engine ya SUZUKI ESCUDO na gearbox yake vinauzwa, niliagiza toka Japan, viko katika hali nzuri sana na haijatumika hapa bongo. Kwa sasa ipo Mbeya lakini mnunuzi wa Iringa, Morogoro na Dar anaweza kusafirishiwa bure. Document zote za importation zipo. Bei ni nzuri sana.