Nauza eneo langu lenye nyumba tatu

Nauza eneo langu lenye nyumba tatu

assen

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
55
Reaction score
30
Nimehamia kibaha mji niupendao. Kwangu naona kuna fursa nyingi. Ningependa kupaendeleza zaidi. Nimejenga nyumba nzuri pale kibaha, Nina eneo kubwa ambalo nimejaribu kuliwekea fence. Ila bado Sina umeme na maji..
Kule nilikohama mbezi kwa msuguri nimeacha nyumba tatu: moja ni kumbwa inayojitosheleza, na nyingine Ina vyumba vitatu na choo pamoja na kibaraza cha ndani kila moja. Nyingine Ina nyumba vinne. Nyumba na vyumba vyote vina wapangaji all in one compound...
Umeme na maji upo. Eneo lipo fenced, paved. Mpadirisha ni ya aluminium.
Nisingependa kuliuza ila nafanya hivyo ili nipate capital ya kuendeleza malengo mengine Bora zaidi
If you are interested nijuze...tuongee bei.
Usafiri hadi hapo nyumbani kwa msuguri ni nzuri sana...barabara ni ya zege Hadi nyumbani
NItumie namba if you are interested.
 

Attachments

  • VID-20250613-WA0011.mp4
    4.5 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom