Nauza Dish la DSTV Tsh 50,000!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Kwa anayehitaji Dish la DSTV linapatikana Tabata kwa bei tajwa hapo. Haipungui hata mia.
Ninaliuza kwa kuwa nimekwisha acha kuangalia TV maiak miwili iliyopita (since then nakesha hapa JF, so I dont see a need to watch TV)
TV nilishaipeleka kijijini kwa bibi yenu na sasa dishi ndio liko hapa stranded!
So kwa anayehitaji anichek inbox...
NB: Nauza complete package yani pamoja na decoder, remote na adapter...
 
Kwa nini mtu anunue dishi lilitumika kwa elfu 50, ilhali wenyewe DSTV wanauza seti nzima kwa elfu 79?
(Dishi, dikoda na rimoti)
Mkuu, inategemea na book value au historical cost. Mimi nililinunua laki na nusu. By the way hilo utalouziwa la efu sabini halina ubora kama hili nililouziwa mie... Yani hapo ni sawa mtu anunue Coaster mpya alafu mwingine naye auziwe Eicher mpya... You cant compare the two in terms of quality am telling you.
 
Acha zako wewe mpya 76000/= wataka utuingize cha kike.
 
Ww jamaa VP? Nimeuliza kwa sababu mi ni mdau wa FTA na natafuta dish la ft 8, sasa nashangaa unajibu kwa kejeli baadala ya kunifafanulia.
Nadhani wewe huelewi kuhusu madish ya DSTV. Nimekupata concern yako. Yale madish mengine ndio yana ukubwa tofauti. Ila hawa DSTV madish yao yako standardised.
 
Kwa anayehitaji Dish la DSTV linapatikana Tabata kwa bei tajwa hapo. Haipungui hata mia.
Ninaliuza kwa kuwa nimekwisha acha kuangalia TV maiak miwili iliyopita (since then nakesha hapa JF, so I dont see a need to watch TV)
TV nilishaipeleka kijijini kwa bibi yenu na sasa dishi ndio liko hapa stranded!
So kwa anayehitaji anichek inbox...
Tv kwa bibi kijijini, dish nauza kwa 50, wapi decorder?
 
Roger!
Kama lina ubora kuliko haya tuliyozoea sawa.....best of luck mkuu...
Mkuu, inategemea na book value au historical cost. Mimi nililinunua laki na nusu. By the way hilo utalouziwa la efu sabini halina ubora kama hili nililouziwa mie... Yani hapo ni sawa mtu anunue Coaster mpya alafu mwingine naye auziwe Eicher mpya... You cant compare the two in terms of quality am telling you.
 
Mkuu, inategemea na book value au historical cost. Mimi nililinunua laki na nusu. By the way hilo utalouziwa la efu sabini halina ubora kama hili nililouziwa mie... Yani hapo ni sawa mtu anunue Coaster mpya alafu mwingine naye auziwe Eicher mpya... You cant compare the two in terms of quality am telling you.
Kamdanganye mwanao wa primary
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom