Nauza Dangote Cement nipo Dar es salaam

Nauza Dangote Cement nipo Dar es salaam

Sina maslahi yoyote ya kibiashara ila hii Dangote Cement ni moja kati ya cement ya kiwango cha chini kuwahi kutokea TZ, wengi tuliyoitumia tumeapa kutokurudia,
Kama unafyatua tofali kwa mfuko mmoja zinatakiwa zisizidi tofali 25, zaidi ya hapo ni kama unatengeneza BISCUIT
 
Contact more information

0754653196
 
Sina maslahi yoyote ya kibiashara ila hii Dangote Cement ni moja kati ya cement ya kiwango cha chini kuwahi kutokea TZ, wengi tuliyoitumia tumeapa kutokurudia,
Kama unafyatua tofali kwa mfuko mmoja zinatakiwa zisizidi tofali 25, zaidi ya hapo ni kama unatengeneza BISCUIT
Hapana wanaotumia DANGOTE wanaisifia sana labda huyo fundi mfyatuajiii
 
Back
Top Bottom