Nauza Computer yangu kama spear parts kwa mafundi computer

Nauza Computer yangu kama spear parts kwa mafundi computer

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Posts
1,532
Reaction score
230
Husika na mada tajwa hapo juu
Ni Dell Latitude D 610.
Bei:200,000/=
Nipo Dsm nauza kwa sababu nimepata nyingine inasumbua kudisplay kwenye screen.
Karibuni.
 
yaani d 610 harafu mbovu ndo unauza laki 2 labda elfu 50 ni pm
 
Gerezani kwenye scraper utapata bei nzuri wahi....
 
Sio kwamba haifai kabisa wazee ipo na tatizo moja la kudisplay basi so biashara nimeangalia kidogo na we kwenda kuifanyia matengenezo.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376234047289.jpg
    uploadfromtaptalk1376234047289.jpg
    73.1 KB · Views: 77
  • uploadfromtaptalk1376234081750.jpg
    uploadfromtaptalk1376234081750.jpg
    58.2 KB · Views: 82
mbona haujaweka picha ikiwa imewaka

Ndio maana nimesema ina tatizo katika kudisplay so bei ya chini then ukinunua upate ya kupelekea kwa fundi.
Pamoja sana.
 
Back
Top Bottom