Nauza Computer Mpya Kwa Bie chee - Mwanza

Nauza Computer Mpya Kwa Bie chee - Mwanza

muvika online

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
374
Reaction score
283
Nauza Computer zangu (zipo 5) Ambazo nilizinunua Mwezi wa 1, 2019 na Kuzitumia kwa Mwezi Mmoja tu Kisha nikaziweka Stoo, Kwasasa Nina Ziuza Zipo 5, Pia ukuacha Computer nauza Viti na Meza ambazo zote Nilinunua kwa Siku Moja.

Computer nauza 250,000/= (Maongezi yapo)
- Ram 2GB

- Hard disk 160 GB
- Screen Nchi 20

Kiti cha Ofisini
150,000/= (Maongezi yapo)

Meza Ndogo
90,000/= (Haipungui)

Meza Kubwa (Sijaipiga Picha)
150,000/= (Maongezi Yapo)

Napatikana Mwanza- Igoma Kama Unahitaji Kitu hata Kimoja wapo nicheki Kupitia
0746898139 (Call / Whatsapp)

1067831

1067832

1067833

1067834
 
Nauza Computer zangu (zipo 5) Ambazo nilizinunua Mwezi wa 1, 2019 na Kuzitumia kwa Mwezi Mmoja tu Kisha nikaziweka Stoo, Kwasasa Nina Ziuza Zipo 5, Pia ukuacha Computer nauza Viti na Meza ambazo zote Nilinunua kwa Siku Moja.

Computer nauza 250,000/= (Maongezi yapo)
- Ram 2GB

- Hard disk 160 GB
- Screen Nchi 24

Meza Ndogo
90,000/= (Haipungui)

Meza Kubwa (Sijaipiga Picha)
150,000/= (Maongezi Yapo)

Napatikana Mwanza- Igoma Kama Unahitaji Kitu hata Kimoja wapo nicheki Kupitia
0746898139 (Call / Whatsapp)

View attachment 1067831

View attachment 1067832

View attachment 1067833

View attachment 1067834
Hyo 90k meza na kiti chake?
 
inakera sana. kuna mdau wangu wa karibu alijichanga akafungua kijiwe cha chips. pango miezi 6 akalipia, akanunua vitendea kazi vyote sanjari na kitambulisho cha 20,000. mauzi ya wiki ya kwanza chips 8=16,000

kwa mwezi akijikuta ameuza 42,000.

amerudi kijijini kulima!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna biashara kichaa kufanya kama hii aisee kama huna mda wa kuisimamia n heri uachane nayo vijana n pasua kichwa mm ilisha nipa hasara za kutosha mwisho wa siku nika ifunga kabisa
 
Back
Top Bottom