Ushauri wangu kama unaenda Arusha beba hivyo vitu,UTANIKUMBUKA
Nampango wa kuhamia Arusha sasa ctaki kuhangaika kubeba mavitu,
Chumba kipo Moro mjoni kati kabisa mitaa ya Uhuru kodi ishalipiwa mpk mwakani mwezi wa Feb.
Chumba kina vitu vyote muhimu na vya kisasa kabisa vyenye umri wa mwaka mmoja, vitu hivyo ni Kitanda na godoro lake futi tano, sofa lakisasa kwa vijana lazma walikubali, mkabati wa nguo futi tano kwa tano, Tv frat screen Samsung galaxy hyo nch 26 na dish lake lake futi sita channel zote full,, bufa, deck haijatumika toka upya, fen ya juu, dressing table, fen ya chini, red capet manyoya futi kumi majaba ya maji, jiko la gesi na set ya masufuria yake, Bike yakutembelea hapa na pale na other accessories za ndani muhim
nichek 0685989130
:A S-confused1::A S-confused1: Chizi ww
Mastamind Hakika mganga hajigangi,..... Wewe ni mtalaam wa kuandika Proposal sasa imekuwaje umeshindwa kuviandikia proposal vifaa vyako na kuvinadi kwa wadau bila ya kuweka thread hapa, alafu upo Arusha unalalamika eti siku ya tatu unatafta kazi, sasa umma hapa utashindwa kukuamini.Nampango wa kuhamia Arusha sasa ctaki kuhangaika kubeba mavitu,
Chumba kipo Moro mjoni kati kabisa mitaa ya Uhuru kodi ishalipiwa mpk mwakani mwezi wa Feb.
Chumba kina vitu vyote muhimu na vya kisasa kabisa vyenye umri wa mwaka mmoja, vitu hivyo ni Kitanda na godoro lake futi tano, sofa lakisasa kwa vijana lazma walikubali, mkabati wa nguo futi tano kwa tano, Tv frat screen Samsung galaxy hyo nch 26 na dish lake lake futi sita channel zote full,, bufa, deck haijatumika toka upya, fen ya juu, dressing table, fen ya chini, red capet manyoya futi kumi majaba ya maji, jiko la gesi na set ya masufuria yake, Bike yakutembelea hapa na pale na other accessories za ndani muhim
nichek 0685989130
Nampango wa kuhamia Arusha sasa ctaki kuhangaika kubeba mavitu,
Chumba kipo Moro mjoni kati kabisa mitaa ya Uhuru kodi ishalipiwa mpk mwakani mwezi wa Feb.
Chumba kina vitu vyote muhimu na vya kisasa kabisa vyenye umri wa mwaka mmoja, vitu hivyo ni Kitanda na godoro lake futi tano, sofa lakisasa kwa vijana lazma walikubali, mkabati wa nguo futi tano kwa tano, Tv frat screen Samsung galaxy hyo nch 26 na dish lake lake futi sita channel zote full,, bufa, deck haijatumika toka upya, fen ya juu, dressing table, fen ya chini, red capet manyoya futi kumi majaba ya maji, jiko la gesi na set ya masufuria yake, Bike yakutembelea hapa na pale na other accessories za ndani muhim
nichek 0685989130
Hivi kumbe kuna samsung galaxy flat screen !!!
Mastamind Hakika mganga hajigangi,..... Wewe ni mtalaam wa kuandika Proposal sasa imekuwaje umeshindwa kuviandikia proposal vifaa vyako na kuvinadi kwa wadau bila ya kuweka thread hapa, alafu upo Arusha unalalamika eti siku ya tatu unatafta kazi, sasa umma hapa utashindwa kukuamini.

'duh,ee bwana kitanda futi tano na kabati futi halaf carpet futi kumi mkuu kwa hiyo ukiingia unafunikwa na manyoya huonekaniki kabiaa aisee,JF KUZURI SANA TEH TEH'