Duh! Kwa bei hiyo utauza mwakani. Gari umeshaitumia for two years alafu unauza bei kubwa kuliko hata ya kuagiza Japan?
BDA hata milioni tano huwez kuuza Carry hata C tu ni majanga makubwa, hiz gar zinachoka mapema sana!BDA two year?
Una uhakika au ndo kuharibiana biashara!
BDA hata milioni tano huwez kuuza Carry hata C tu ni majanga makubwa, hiz gar zinachoka mapema sana!
Duc In Altum.
Nina uhakika coz mimi nilinunua gari DD_ ina more than a year... Sio kuharibiana. Ninakupa fact. Any way kila mtu na bahati yake. Jaribu bahati yako...DBA two year?
Una uhakika au ndo kuharibiana biashara!
Nina uhakika coz mimi nilinunua gari DD_ ina more than a year... Sio kuharibiana. Ninakupa fact. Any way kila mtu na bahati yake. Jaribu bahati yako...
Unachanganya mambo ndugu. Hio gari sio BDA, namba zinasoma DBA, Di Bi EiDBA two year?
Una uhakika au ndo kuharibiana biashara!
Unachanganya mambo ndugu. Hio gari sio BDA, namba zinasoma DBA, Di Bi Ei
Unaharibu biashara za watu kirikuu ndo nini!But the way haya makirikuu ni full majanga
Mkuu share experience. Majanga gani umekutana nayo? Tatizo hizi gari zina injini ya piki piki ila zinabebeshwa mzigo wa Fuso. Ndio maana hazikai kwenye gem mda mrefu...But the way haya makirikuu ni full majanga
Sorry, nilikosea, nilikuwa nam-quote huyu hapa chini, bahati mbaya nikaku-quote wewe. Tuko pamojaMkuu rudia tena kusoma ulicho-quote na ulichoandika.
BDA hata milioni tano huwez kuuza Carry hata C tu ni majanga makubwa, hiz gar zinachoka mapema sana!
Duc In Altum.
Sorry, nilikosea, nilikuwa nam-quote huyu hapa chini, bahati mbaya nikaku-quote wewe. Tuko pamoja
Unaonekana wewe hujawahi miliki gari..Nina uhakika coz mimi nilinunua gari DD_ ina more than a year... Sio kuharibiana. Ninakupa fact. Any way kila mtu na bahati yake. Jaribu bahati yako...