Camera aina ya Canon 500D nauza imetumika,sio hapa Tanzania lakini ni nje,
Nauliza kwani kuna tofauti gani kati ya kutumika sio hapa Tanzania na kutumika huko nje ilikotoka?
We kwanini ununue gari used kutoka japan na usinunue gari use toka hapa hapa kwa mbongo mwenzako. Ukiwa na jibu la hapo basi hata swali ulilomuuliza jamaa jibu unalo.