Nauza business plan ya alizeti

Nauza business plan ya alizeti

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,590
Reaction score
2,435
Habari zenu wakuu.
Nilifanya research juu ya Alizeti kwenye maeneo yafuatayo:
1.Upatikanaje wake
2.ukamuaje wa mafuta yake na gharama za kiwanda
3.Soko lake na mbadala wake
4. Namna ya kuwakabaili washindani
5.Bidhaa zinazoendana(substitute)
6. Jinsi ya kupata mtaji
7.Nini kifanyike mambo yakienda kombo(Exiting plan)
Nimeandaa plan hii nikiwa moshi, nimehamia Dar majukumu yamenizidi ya ajira.
Hivyo nauza plan hii au natafuta partner mwenye mtaji tushirikiane, tuendelee.
simu:0713-039875
 
Mkuu Unahitaji mtu aliyeko maeneo gani? Awe na mtaji kiasi gani?
 
Sijaelewa kidogo mwanzoni unasema buz plan inaeleza namna ya kupata mtaji mwishoni unatafuta partner mwenye mtaji....

Sihami Tanzania
 
6. jinsi ya kupata mtaji...
then unahitaji mtu mwenye mtaji??
Nimeeleza hapo juu kwamba nilipanga niitekeleze(implement) ila nimebanwa na ajira hivyo namuuzia mwingine ili PLAN isipotee bure
 
Research ulifanya uko moshi, mbona mazingira ya moshi na simiyu nitofauti, nadhani mie haitanifaa.
 
Research ulifanya uko moshi, mbona mazingira ya moshi na simiyu nitofauti, nadhani mie haitanifaa.
Research ni road map, yaani muongozo kwa asiye na pa kuanzia. Kadri unavyotumia hadi wapi uongeze nini na wapi upunguze nini
 
toa tu hyo plan hata bure kwani mpaka uuze,,mm nikifanikiwa sinitakua nimeisaidia nchi yangu pamoja na ww pia
 
toa tu hyo plan hata bure kwani mpaka uuze,,mm nikifanikiwa sinitakua nimeisaidia nchi yangu pamoja na ww pia
NI KWELI BOSS. LAKINI HUTAKI KUISAIDIA NCHI KWA GHARAMA CHINI LA LAKI MBILI?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom