Bei?Kama Kichwa hapo juu kinavyo jieleza.. Nauza Bucha ya samaki iliyo kamilikia, ina frizeer ft 4, Meza 3, radio, mzani wa digital na vifaa vyote vinavyo vinavyohitajika kwenye Bucha ya samaki.. Bucha lipo Dodoma.. Kwa Mtu yeyote mwenye uhitaji anicheck DM kwa maelezo zaidi...
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu natangaza hii Biashara kwa Mara ya pili;
Nauza Bucha langu la Samaki lipo Dodoma.. Ndani limekamilika lina kila kitu kinachohitajika kwenye Bucha la Samaki, kama freezer, mzani wa digital n.k.. Kwa mwenye huitaji na Biashara hii anicheck PM.. Nimeamua kufanya hivi kwa sababu natarajia kuhamishwa kikazi hivi Karibuni...