mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 Nov 24, 2014 #1 Nauza blackberry z10 nyeusi imetumika kama mwezi tuu hali nzuri kwa shilingi laki nne tuu ila bei bado tunaweza kuelewana kwa maelezo zaidi nippigie hapa 0786371108 pamoja sana ya nini utumbo utupwe wakati wachaga twalia ndizi
Nauza blackberry z10 nyeusi imetumika kama mwezi tuu hali nzuri kwa shilingi laki nne tuu ila bei bado tunaweza kuelewana kwa maelezo zaidi nippigie hapa 0786371108 pamoja sana ya nini utumbo utupwe wakati wachaga twalia ndizi
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,506 Reaction score 375 Nov 25, 2014 #2 Chukua laki Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mwanaMtata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2014 Posts 2,393 Reaction score 1,433 Nov 25, 2014 Thread starter #3 mandwa said: Chukua laki Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums Click to expand... mwanangu huoni utakua umedhulumu nafsi, kutoka laki nne mpaka moja dah
mandwa said: Chukua laki Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums Click to expand... mwanangu huoni utakua umedhulumu nafsi, kutoka laki nne mpaka moja dah
M magesa77 Senior Member Joined May 22, 2011 Posts 123 Reaction score 15 Nov 25, 2014 #4 Vuta laki na blackberry 9320 juu yake
stunna JF-Expert Member Joined Nov 7, 2013 Posts 261 Reaction score 152 Nov 26, 2014 #6 Mkuu chukua mia mbili na bold juu yake