Mbuty
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 421
- 254
Ninauza simu aina hiyo kwa kiasi hicho cha fedha,ni simu yangu ninayo itumia kwa sasa na haina tatizo,nimeonelea nibadilishe nirudi nokia.ina screen protection na cover ya kawaida ya simu,haijawahi kufunguliwa na fundi kwa tatizo la hardware.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums